nivo nivo nivo

Wanaotazama tovuti sasa

We have 11 guests and one member online

Efatha Ministry

Huduma ya EFATHA yenye msingi wa Kitume na Kinabii, ilianzishwa mwaka 1996 na kuandikishwa kisheria hapa Tanzania mwaka 1997, kutokana na maono aliyoyapokea kutoka kwa Bwana Yesu. Huduma hii siyo dini bali ni KUSUDI (PURPOSE) la Mungu kwa wanadamu. Huduma hii imeinuliwa kwa majukumu makuu matatu; Moja Kuponya watu kutokana na mateso ya magonjwa na madhaifu mbalimbali. Pili Kuwafungua watu kutoka kwenye vifungo mbalimbali vya mwili, nafsi na roho. Tatu Kuliandaa kanisa la mwisho tayari kwa ajili ya unyakuo.


VITABU! VITABU!

booksPata nakala yako sasa ya kitabu TEMBEA KATIKA NGUVU ZA MUNGU na TABIA YA KUTEMBEA NA MUNGU, Vilivyoandikwa na Mtumishi wa Mungu Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira. Vinapatikana Efatha Bookshop Mwenge Dar es salaam. Kwa mawasiliano piga simu no. 0757 261 837 Au 0756 081 487

Jibu Swali lifuatalo

Daudi alikuwa mtoto wa: (gusa kiduara nyuma ya jibu kisha bofya submit)..

Join us on facebook

Habari mbalimbali

HUDUMA YA EFATHA MKOA WA DAR ES SALAAM
Huduma ya Efatha ni KUSUDI alilopewa na Bwana Yesu, Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, kuliandaa Kanisa la mwisho tayari unyakuo. Huduma ya Efatha Imeenea wilaya zote za Jijini la Dar es salaam.
MAHUBIRI YA JUMAPILI KWA UFUPI
MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRASOMO:UPONYAJI WA AKILIMAARIFA hatuyapati kwa Kufunga na Kuomba bali kadiri UNAVYOSIKIA. UFAHAMU ni ile Hali yako ya KUELEWA na Ukafanya kama ULIVYOELEWA. Warumi 1:28 "Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika...
MUNGU AMENIPONYA UPOFU
Naitwa Rahel joel napenda kumshukuru Mungu kwa matendo makuuu aliyo tenda kwangu. Nilikuwa natumia jicho moja la kushoto kuona tangu kuzaliwa kwangu ila tarehe 30/3/2016 Mungu amenifanyia matendo makuu kupitia kwa mlezi wangu wa kiroho Mungu...
NUKUU YA LEO
Ukiona watu wanakusifia kwa mambo ya jana inamaana huna jipya leo, usijivune kwa jambo la jana bali jivune kwa jambo zuri unalofanya leo.
SHIRIKI KUJIBU SWALI HILI
SWALI jepesi la ufahamu utapaswa kubonyeza kwenye kiduara nyuma ya jibu sahihi kisha bonyeza SUBMIT, tayari utakuwa umejibu. Kuangalia matokeo bonyeza RESULTS. Asante Mungu akubariki kwa kushiriki share na rafikizako swali hili.
SHUHUDA: MUNGU AMENIPONYA NA AJALI MBAYA
Naitwa Mchungaji Ingianaeli Mashamba Eneo la Amani:Namshukuru sana MUNGU kwa kuniokoa na ajali mbaya ya gari, ambapo gari yangu ilipata ajali, nikatoka salama bila mchubuko wala madhara ndani ya mwili mimi na wenzangu, nilipata msaada wa haraka...
SIKILIZA MAHUBIRI KUTOKA KWA MTUME NA NABII JOSEPHAT E. MWINGIRA

Nyimbo za Ibada

Efatha Mwenge Dsm

apostle1Karibu sana Kanisa la Efatha Mwenge jijini Dar es salaam Tanzania, jirani na kituo cha daladala cha zamani cha Mwenge, ukielekea Lugalo kambi ya Jeshi. .
RATIBA ZA IBADA JUMAPILI 
- Ibada ya Kwanza; saa 1:00 - 4:00 Asb
- Ibada ya Pili; saa 4:00 - 7:00 Mchana
- Ibada ya Tatu; saa 7:00 - 10:00 Jioni

Efatha Radio Online

Sikiliza Ibada za Jumapili moja kwa moja (LIVE) kutoka Efatha Mwenge, Mahubiri na nyimbo mbalimbali.